Banda letu la Wedding Bells limetengenezwa na kupambwa vizuriiiiii na Dada Monica.. aka Special occasions...
wapambaji wa kistaaraabu na keki tamu zaidi na za kistaarabu zaidi in Dar
baadhi ya kazi zao ni pamoja na Melissa and Harris Wedding- Keki na mapambo: Venue Moven Pick




Martha Nnko and Joseph Wedding
Gladys Wedding- cake


Gladys wedding ilipambwa na Sophy nitawawekea aina zake na mapambo yake soon...pia ni wedding planner




Stella and Eliud's Cake

Wanapatikana mjini NSSF building opposite CBE pia branch yao nyingine Kimweri Avenue Msasani kama unaelekea CCBRTWapigie Simu -Special Occassion's namba 0754 404 733
Hiç yorum yok:
Yorum Gönder